EAEP Kiswahili Angaza Kitabu cha Mazoezi Grade 5
Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mazoezi, Gredi ya 5 ni kitabu kilichoandikwa kwa ubunifu ili kuimarisha maarifa ya mwanafunzi kupitia mazoezi. Mazoezi kwenye kitabu hiki yamewasilisha kikamilifu mahitaji ya Mtalaa wa Umilisi. Mazoezi haya yatamwezesha mwanafunzi kukuza stadi zinazohitajika, maadili na kukabiliana na masuala mtambuko. _x000D_
Kitabu hiki kimezingatia mambo sita muhimu katika ujifunzaji wa lugha:_x000D_
• Mazoezi mbalimbali yanayopalilia na kushadidia umilisi wa mwanafunzi _x000D_
• Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha ambazo ni: Kusikiliza, kuzungumza, Kusoma na kuandika. _x000D_
• Picha ya muhtasari inayoeleza yale yatakayoshughulikiwa kwa kila stadi ya ujifunzaji. _x000D_
• “Sasa ninajua’ na Jitathmini’ ambavyo ni vidokezo vya kujifunzia na kuimarisha umilisi baada ya mazoezi. _x000D_
• Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi. _x000D_
• Picha zilizotumika zimechorwa vizuri na kikamilifu. Kila mada imeanza kwa picha ambayo inasisimua hamu ya mwanafunzi ya kujifunza.
Reviews
There are no reviews yet.