Eliana Binti Mfalme na Hadithi Nyingine level 3

Eliana Binti Mfalme ni hadithi yenye upekee wa kupigiwa mfano. Hadithi hii ni teule miongoni mwa hadithi nyingine nyingi, inayomfunza mwanafunzi msomaji umuhimu wa maadili. Ni hadithi inayosimulia kisa cha Eliana, ambaye ni binti wa mfalme. Marafiki zake Eliana wanampangia njama ya kumuumiza kutokana na roho zao za wivu.Je,ni nini kinatokea mwishoni?

KSh 290.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Eliana Binti Mfalme na Hadithi Nyingine level 3”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?