JKF Nyota ya Kiswahili Grade 3 (Approved)
Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wa vitabu vya kiada kwa Gredi ya Tatu. _x000D_
Kimeandikwa kuambatana na mtalaa mpya. Kitabu hiki kimelenga kumwongoza mwanafunzi katika masomo yake ya lugha ya _x000D_
Kiswahili kwa kutimiza maarubu ya mtalaa wa kiwango husika. _x000D_
Ndani yake mna mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yao. _x000D_
Kimezingatia stadi zote za kujifunza lugha, yaani: _x000D_
(i) Kusikiliza _x000D_
(ii) Kuzungumza_x000D_
(iv)Kusoma_x000D_
(vi)Kuandika_x000D_
(v)Msamiati_x000D_
(vi)Sarufi_x000D_
Mwanafunzi amepewa nafasi ya kujifunza mwenyewe kutokana na picha maridhawa, _x000D_
hadithi, mashairi na michezo murua. Ili kuzidisha hamasisho la ujifunzaji, _x000D_
mwongozo maalumu umeandaliwa ili kuwapa walimu mbinu thabiti za kuuchochea ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi. _x000D_
Ili kutathmini kiwango cha ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi kitabu hiki kimetoa mazoezi ya kutosha _x000D_
yatakayowawezesha kupata: _x000D_
– Umilisi wa kimsingi_x000D_
– Maadili ya kimsingi_x000D_
– Uwezo wa kuyashughulikia masuala mtambuko
Reviews
There are no reviews yet.