Kielekezi cha Kiswahili Pupils Grade 5

KIELEKEZI CHA MARUDIO YA KISWAHILI GREDI YA 5 KIELEKEZI cha marudio ya Kiswahili Gredi ya 5 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa mfumo mpya wa elimu ya umilisi. Kitabu hiki:_x000D_
– Kimeandikwa kumwezesha mwanafunzi kukuza na kujenga ujuzi na uwezo wa kutumia stadi za lugha (Kusikiliza na kuzungumza, Kusoma, kuandika na Sarufi). _x000D_
– Kimeandikwa kwa lugha rahisi na kutoa mifano mwafaka. _x000D_
– kimeshughulikia Masuala mtambuko kama vile: uraia, utangamano, elimu ya amani, stadi za maisha, mazingira na teknolojia. – Kina Mazoezi muhimu ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio. _x000D_
– Kina Zoezi la Tathmini mwishoni mwa kila sura. _x000D_
– Kina karatasi sita za Majaribio ya mitihani. _x000D_
– Kimeandikwa na waandishi wenye tajriba kubwa katika ufundishaji wa somo la Kiswahili katika shule bora nchini Kenya. Aidha, wanaelewa mfumo wa umilisi kwa jumla.

KSh 640.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kielekezi cha Kiswahili Pupils Grade 5”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?