Kielekezi cha Shughuli za Kisw Mwalimu GD4 (Appr)

KIMEIDHINISHWA NA KICD_x000D_
Mwongozo huu wa mwalimu umetengenezwa kwa lengo la kumwelekeza mwalimu anapotekeleza na kuafikia malengo _x000D_
‘maalum ya Mtaala Mpya unaozingatia umilisi na kukuza maadili bora. Mwongozo huu utamsaidia mwalimu katika kukuza stadi _x000D_
zote za lugha ambazo ni; Kusikiliza na kuzungumza, Sarufi, Kusoma na kuandika. Mwongozo huu umerejelea kikamilifu Kitabu _x000D_
cha mwanafunzi hivyo basi, kuufanya rahisi kwa mwalimu kuutumia. Mwalimu anashauriwa kujiandaa mapema na ipasavyo ili _x000D_
kutekeleza shughuli za ujifunzaji.

KSh 760.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kielekezi cha Shughuli za Kisw Mwalimu GD4 (Appr)”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?