KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili GD2 Trs (Appro)

KLB Mazoezi ya Kiswahiil Gredi ya Pili (Mwongozo wa Mwalimu) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za msingi. Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.

KSh 458.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili GD2 Trs (Appro)”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?