Kurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili Gredi ya 4

Kurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili Gredi ya 4 ni kitabu kilichoandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi uelewa wa mfumo mpya wa elimu wa umilisi. _x000D_
Sifa za kitabu hiki: _x000D_
– Maswali yote ya Tathmini na Majaribio yanafuata muundo na ruwaza ya sasa_x000D_
ya Baraza la Kutunga Mitihani Kenya (KNEC); hivyo yanampa mwanafunzi_x000D_
sura kamili ya tathmini ya shuleni na kitaifa_x000D_
. kinafuata kikamilifu mfumo mpya wa umilisi._x000D_
. Kina majaribio tosha ya mwisho wa kila muhula._x000D_
. Kina tathmini ya mwisho wa mwaka inayotathmini kuafikiwa kwa malengo ya mwaka mzima._x000D_
. Maswali yana michoro na picha za kuvutia kurahisisha uelewa wa mada lengwa._x000D_
. Majibu ya Mazoezi yote yapo mwishoni mwa kitabu hiki. Majibu haya yanamlenga mwanafunzi, mzazi au mlezi na mwalimu.

KSh 458.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili Gredi ya 4”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?