Longhorn Mwanga wa Kiswahili GD4 Mwalimu (Appr)

Longhorn Mwanga wa Kiswahili Gredi ya 4 (Mwongozo wa Mwalimu) ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi na umahiri mkubwa kwa _x000D_
ajili ya mwalimu na mlezi wa mwanafunzi wa gredi ya nne. Kinatosheleza kikamilifu mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi _x000D_
pamoja na malengo ya elimu ya taifa la Kenya. Kitabu hiki ni silaha tosha kwa mwalimu kwa jinsi kinavyomwelekeza kujitayarisha, kufundisha na _x000D_
kutathmini umilisi mbalimbali wa mwanafunzi katika somo la Kiswahili._x000D_
Mwalimu ameelekezwa kikamilifu jinsi ya kufundisha na kutathmini shughuli zote zilizopendekezwa katika kitabu cha _x000D_
mwanafunzi. Namna ya kuwashughulikia wanafunzi walio na mahitaji maalum pamoja na wanaoishi katika mazingira mbalimbali _x000D_
pia imeangaziwa katika kila mada kuu._x000D_
Majibu tarajiwa kwa shughuli zote, kazi za ziada pamoja na mazoezi yaliyomo katika kitabu cha mwanafunzi yametolewa katika kila mada._x000D_
Pia, kitabu hiki kina vielelezo mwafaka vya maazimio ya kazi, mpangilio wa somo, rekodi ya ufunzaji, rekodi ya maendeleo _x000D_
ya wanafunzi pamoja na maelezo ya kina kuhusiana na utekelezaji wa mtaala mpya wa umilisi._x000D_
Isitioshe, waandishi wa kitabu hiki ni walimu na watahini wenye ujuzi wa kutosha katika ufundishaji na utahini wa Kiswahili kwa miaka mingi.

KSh 661.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Longhorn Mwanga wa Kiswahili GD4 Mwalimu (Appr)”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?