ONE PLANET KPSEA HOMESTRETCH MWENGE WA KISWAHILI G4-6

Upekee wa kitabu hiki uko katika uwezo wacho wa kukabili mada na mada ndogo kwa kumpa mwanafunzi na mwalimu shughuli au mazoezi yanayomwezesha kujifunza, na hapo hapo angjitathmini. Kitabu hiki kinamwandaa mwanafunzi, si kwa tathmini endelevu za kila siku katika mchakato wa kawaida wa ujifunzaji, bali pia katika tathmini za hapo shuleni, na muhimu zaidi, katika Tathmini ya Mwisho wa Gredi ya Sita (KPSEA). Tathmini zilizotolewa katika kitabu hiki zinahusisha masuala ambayo mwanafunzi anakumbana nayo kila siku. Zaidi tathmini hizi zinalenga kukuza stadi za karne ya ishirini na moja, na umilisi wa kimsingi, kama vile uwazaji wa kina na utatuzi wa matatizo, mawasiliano, uraia na kujiamini.

KSh 870.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “ONE PLANET KPSEA HOMESTRETCH MWENGE WA KISWAHILI G4-6”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?