Oxford Kiswahili Dadisi GD4 Wkbk

Kiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa mpya wa Umilisi. _x000D_
Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata _x000D_
umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya _x000D_
mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka. Kitabu hiki: _x000D_
• kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtalaa _x000D_
• kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila mada. _x000D_
• kina tathmini ya binafsi ambayo itamsaidia mwanafunzi kukadiria umilisi wake katika_x000D_
mada ndogo zote. _x000D_
Majibu ya mazoezi katika vitabu vyote vya Gredi ya Nne yanapatikana katika kitabu kimoja.

KSh 510.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Oxford Kiswahili Dadisi GD4 Wkbk”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?