Oxford Kiswahili Dadisi Grade 1 Workbook

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mfumo mpya wa umilisi, Vitabu hivi vinaelekeza kikamilifu kufanya mazoezi ya lugha kwa njia ya kufurahisha na kuelimisha. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umitisi wa msingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani.

KSh 383.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Oxford Kiswahili Dadisi Grade 1 Workbook”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?