Oxford Kiswahili Dadisi Grade 5 Kitabu cha mwanafunzi (Approved)

Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. _x000D_
Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 5, utapata: _x000D_
• mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya. _x000D_
• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika. _x000D_
• mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za_x000D_
kijamii zinazokuza ujifunzaji. _x000D_
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja._x000D_
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji. _x000D_
• vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya ‘Burudika’. _x000D_
Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu wa umilisi.

KSh 563.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Oxford Kiswahili Dadisi Grade 5 Kitabu cha mwanafunzi (Approved)”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?