Oxford Kiswahili Dadisi Grade 5 Mwalimu (Approved)

Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 5_x000D_
Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi kama ilivyopendekezwa katika mtalaa._x000D_
Vitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka._x000D_
Huu Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 5, una mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu, utapata: _x000D_
• utangulizi wa kina kuhusu mtalaa wa umilisi _x000D_
• muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura _x000D_
• matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo mapendekezo ya majibu ya takribani maswali yote katika kitabu cha Mwanafunzi _x000D_
• mapendekezo ya shughuli za kutekelezwa na wanafunzi ili waendelee kujifunza wakiwa nje ya darasa _x000D_
• maswali ya ziada ili kukuwezesha kutathmini zaidi uelewa wa wanafunzi wako _x000D_
• maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.

KSh 510.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Oxford Kiswahili Dadisi Grade 5 Mwalimu (Approved)”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?