Phoenix Hatua za Kiswahili Rasmi Grade 5
Hatua za Kiswahili Rasmi, Kitabu cha mwanafunzi ni mfululizo wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa ufundi kwa kufuata mtalaa mpya unaosisitiza umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kukuza weledi wake katika stadi za kusikiliza na kuzungumza, sarufi na matumizi ya lugha, kusoma na kuandika.
Reviews
There are no reviews yet.