Mikononi mwa Nunda
Zipo hadithi za kale, za mnyama aliyeitwa ‘Nunda’ ambaye anaelezewa kuwa alikuwa mla watu. Watu walizichukulia hadithi hizo kama za mapokeo, zisizo na ukweli wowote. Lakini pale ‘Nunda Mla Watu alipoibuka jijini Dar es Salaam na kuanza kuteketeza maisha ya watu mbalimbali, kila mtu aliingiwa na hofu.
Reviews
There are no reviews yet.