Msake Mpaka Umpate

“Ningependa ufanye upelelezi wa uhalifu huu. Msake mhalifu mpaka umpate. Ninakuamini kwamba unaweza kumnasa mhalifu huyo kutokana na uhodari wako katika kazi hii. “Kwa bahati nzuri, mtu mmoja alinusurika kati ya hao waliokumbwa na mkasa huu. Risasi za jambazi zilimkosa na akajifanya amekufa.” Tom… Alitega sikio na kumsikiliza mkuu wake wa kazi akiendelea: “Huyu bwana aliyenusurika ndiye aliyetoa taarifa ya ujambazi huo kituoni, na jina na anwani yake ni hivi…” Tom alioneshwa kikaratasi kilichokuwa na maandishi ya mkono yenye taarifa hii: Jina – Deo Pantaleo, Mtaa -Swahili, Namba ya nyumba – 85, Shauri – KJ/II/66.

KSh 530

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

untitled design 24

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Msake Mpaka Umpate”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?