Narejea Nyumbani
“Mtindo wa uandishi katika nafsi ya kwanza unatilia uzito uhalisia wa riwaya ya Narejea Nyumbani. Hii ni hadithi ya kuzua mjadala kuhusiana na maisha ya mwandishi, hasa kutokana na mbinu rejeshi iliyotawala kisa chote. Ni hadithi inayomsukuma msomaji kutoka kipembe hiki cha maisha hadi kile kingine.” Prof. Ken Walibora, Chuo Kikuu Cha Wisconsin-Madison, Marekani, 21 Julai 2012.
Reviews
There are no reviews yet.