Moran Stadi za Kiswahili – Mwanafunzi Gradi 5 (Approved)

Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Umilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo: _x000D_
• Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 5. _x000D_
• Maswali dadisi yametumiwa kutanguliza dhana zilizomo. _x000D_
• Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi binafsi, shughuli za wanafunzi wawiliwawili na za makundi ya wanafunzi. _x000D_
• Kimeshughulikia masuala makuu yote kwa mujibu wa ruwaza ya Kiswahili cha Gredi ya 5_x000D_
• Kimejumuisha mada kuu na mada ndogo zote. _x000D_
• Yaliyomo yamepangwa kulingana na ruwaza ya Kiswahili cha Gredi ya 5. _x000D_
• Yaliyomo yamewasilishwa kwa ubunifu wa kiwango cha juu. _x000D_
• Kimeshughulikia matokea maalum yanayotarajiwa katika Gredi ya 5. _x000D_
• Kimejumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Umilisi. _x000D_
• Kimeshughulikia masuala mtambuko yote. _x000D_
• Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi. _x000D_
• Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za kusikiliza na kuzungumza, kusoma na kuandika _x000D_
• Michoro na picha za rangi zinachangia yaliyomo kueleweka kwa urahisi. _x000D_
• Maandishi makubwa na ya rangi mbalimbali yanasomeka kwa urahisi.

KSh 592

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

untitled design 24

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Moran Stadi za Kiswahili – Mwanafunzi Gradi 5 (Approved)”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?