Queenex Taji Njiwa Wangu na Hadithi Nyingine
Kumbo hili la hadithi za kupendeza zenye mguso wa Kiafrika tena za kifoniki lina jumla ya hadithi kumi na sita. Kila hadithi inaanza kwa kutanguliza sauti lengwa, vianzio, maneno teule, na maneno yenye urari. Hadithi hizi zinalenga kurahisisha ufunzaji wa stadi maalum za usomaji. Msururu huu utamsaidia msomaji kukuza stadi za usomaji darasani na kupalilia tabia ya kusoma maktabani na katika mazingira mbalimbali ikiwemo nyumbani na hivyo kukuza stadi za maisha na maadili.

THINK BIG BEN CARSON
Terian Revision Series KCSE Biology Form 1-4 





































Reviews
There are no reviews yet.