Queenex Gamba La Kobe na Hadithi Nyingine 3B
Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Tatu na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni: – Usalama – Kazi mbalimbali – Usafi wa mazingira
KSh 290
Out of stock

ACCESS AND LEARN KISWAHILI SAHILI LB GRADE 4 REVISED
ACCESS:MATHEMATICS LB GRADE 1 REVISED
ACCESS AND LEARN ENGLISH LB G4 REVISED
0XFORD: GROWING IN CHRIST W/B GRADE 2 REVISED
BEGINNING:CREATIVE LB GRADE 3 REVISED
ACCESS:TEARS OF JOY
A TO Z CHILDREN DICTIONARY OXFORD
ACCESS & LEARN AGRICULTURE L/B GRADE 6 REVISED
ACCESS & LEARN CREATIVE ARTS L/B GRADE 5 REVISED
ACCESS AND LEARN MATHS ACTIVITIES GRADE 4 LB REVISED




Reviews
There are no reviews yet.