OUP Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwalimu Grade 8 (Approved)

KSh 754

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

untitled design 24

Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala.Mwongozo huu wa mwalimu una:-Utangulizi kuhusu Mtaala wa Kiumilisi-Muhtasari wa umilisi, maadili na masuala mtambuko yaliyoratibiwa kukuzwa-Mifano ya vifaa vya kutathmini na jinsi ya kuviandaa vifaa hivyo-Mapendekezo kuhusu mbinu bora za ufunzaji na ujifunzaji-Jinsi ya kuwahudumia wanafunzi wenye mahitaji maalumu-Nyaraka za kitaaluma-Maelekezo kuhusu jinsi ya kuwahusisha wanafunzi katika shughuli za kijamii.Mwongozo huu pamoja na Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanfunzi Gredi ya 8 ni nyenzo muhimu zitakazokuwezesha wewe na wanafunzi wako kufaulu katika Mtaala wa Kiumilisi.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “OUP Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwalimu Grade 8 (Approved)”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?