Kamusi ya Kiswahili Sanifu (TUKI) 4th Edition

Kamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina:_x000D_
• zaidi ya vidahizo vipya 1 000 _x000D_
• kurasa 48 za rangi zenye mada mbalimbali _x000D_
• zaidi ya methali 500 zilizotolewa maana_x000D_
• nahau na misemo iliyotolewa maana.

KSh 1,183.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kamusi ya Kiswahili Sanifu (TUKI) 4th Edition”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?