KLB Visionary Kiswahili – Mwalimu Gredi 6 (Approved)

KLB Visionary Kiswahili Gredi ya Sita (Mwongozo wa Mwalimu) kimechapishwa kwa kuzingatia MTaala wa Kiumilisi wa mwaka wa 2021 wa masomo ya shule za msingi Gredi ya Sita kutoka Taasisi ya Ukuzaji Mitaala Nchini Kenya (KICD). Mwongozo huu umechapishwa kwa kusudi la kuendelea kuimarisha uwezo wa mwalimu kuelekeza na kufunza lugha ya Kiswahili kupitia Sarufi na stadi za lugha; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika.

KSh 464.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “KLB Visionary Kiswahili – Mwalimu Gredi 6 (Approved)”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?