Kosa ni la Nani
Rashid na Amina wanatengana. Licha ya utengano huu, Amina anajifungua mwana wa kiume. Sitirika. Naye Asmin ni mke wa mkwasi fulani ambaye ni mgumba.Ana hamu ya kupata mtoto. Anajaribu bahati yake nje ya ndoa ambapo anakutana na Rashid. Wanajaliwa kupata mwana wa kike, Asilia. Sitirika na Asilia wanakutana na kusuhubiana pasi na kuja uhusiano uliopo baina. Asilia anakuwa mjamzito. Ili kuepuka fedheha, Sitirika anajisumisha baada ya kugundua kwamba alimtunga mimba dadake wa kambo. Je, chanda cha lawama kielekezwe wapi?

 STANDARD ANALYSIS BK 8S
STANDARD ANALYSIS BK 8S						 ACROSS THE BRIDGE
ACROSS THE BRIDGE						




































Reviews
There are no reviews yet.