2 1

Made Familiar: Safari hatari Level 8

KSh 404

untitled design 24

Azizi na majasusi chipukizi wenzake wamepata ufadhili wa kuzuru na kupiga kambi katika mbuga ya wanyama ya Kito. Huko, wanagundua kuwa kuna njama ya kuwinda vifaru waliohamishwa katika mbuga hiyo. Wanaamua kufanya uchunguzi ili kuwafichua na kuwanasa mgjangili. Je, vijana hawa chipukizi watawezaje kukabiliana na majangili waliojihami? Je, juhudi zao zitazaa matunda?Kitabu hiki kinalenga kunoa ubunifu, uwazaji kina,ushirikiano pamoja na kujiamini miongoni mwa wasomaji lengwa. Vilevile, kinakuza utunzaji wa wanyama wa porini na mazingira kwa jumla jinsi inavyopendekezwa_ katika masomo kama vile Kiswahili, Agriculture na Social Studies.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Made Familiar: Safari hatari Level 8”