Made Familiar: Vitendawili vya Juma na Bintiheri Level 8

KSh 404

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

untitled design 24

Juma na Bintiheri, ambao ni binamu, wanafunga safari ya kuzuru) Malindi na maeneo mengine ya pwani. Wanaandamana na wazazi wao. Wanayoshuhudia na kujifunza katika ziara hiyo yanakuza ndoto zao kuhusu utunzaji wa mazingira na kujivunia utamaduni wao chanya. Wangjifunza mengi kuhusu historia ya jamii za pwani na wageni waliowahi kuzuru maeneo hayo miaka na mikaka iliyopita. Jiunge na binamu hawa katika ziara yao ya kusisimua ili ujifunze mengi na kuburudika.Kitabu hiki kinalenga kunoa ubunifu) miongoni mwa wanafunzi, kuwachochea kushiriki katika utunzaji wa mazingira na kuwafunza kuhusu utamaduni na historia yao. Kwa hivyo, kitabu hiki kitafaa sana katika ufunzaji na ujifunzaji wa mada kama vile Natural and Built Environment, Historical Information na Early Civilization (Social Studies).

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Made Familiar: Vitendawili vya Juma na Bintiheri Level 8”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?