Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 10
Kitabu hiki kina sifa zifuatazo.
*Kimewasilisha kikamilifu mahitaji ya Mtaala wa Kiumilisi.
*Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha:
*Kimetumia mtindo unaomwegemea mwanafunzi.
*Kimetumia lugha nyepesi inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.
*Kina mazoezi muhimu ya kumtathmini mwanafunzi na kujitathmini.
*Kina tathmini mwishoni mwa kila sura ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio zaidi.
Waandishi wa kitabu hiki-wane-tajriba kubwa katika ufundishaji wa somo la kiswahili katika shule tajika nchini Kenya.






Reviews
There are no reviews yet.