MENTOR KIELEZI CHA KISWAHILI L/B G7

Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 7 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa na kufikia matokeo maalumu yanayotarajiwa.Kitabu hiki:

-Kimeandikwa kumwezesha mwanafunzi kukuza na kujenga ujuzi na uwezo wa kutumia stadi za lugha; Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi.

-Kimeandikwa kwa lugha rahisi na kutoa mifano mwafaka katika mazingira tofautitofauti.

-Kimeshughulikia masuala mtambuko kama vile: uraia, utangamano, elimu ya amani, stadi za maisha, mazingira, elimu ya maendeleo endelevu, teknolojia na afya bora.

-Kina mazoezi muhimu ya kumtathmini mwanafunzi na pia kujitathmini.

-Kina Zoezi la Tathmini mwishoni mwa kila sura ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio zaidi.

-Kimeandikwa na waandishi wenye tajriba kubwa katika ufundishaji wa somo la Kiswahili katika shule bora nchini Kenya. Wanaelewa vyema mahitaji ya mwanafunzi na mwalimu katika somo la Kiswahili na mtaala wa kiumilisi.

KSh 740

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

untitled design 24

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “MENTOR KIELEZI CHA KISWAHILI L/B G7”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?