Mkuu: Hatima ya Kubuni
Wanasayansi, wanaramani mabingwa wameshindwa kutambua kilipokuwa kijiji cha Kubuni na kukiweka Juu ya uso wa dunia. Kile wanachojua ni kuwa kijiji chenyewe kilikuwepo, ila sasa hakijulikani kitovu chake. Mzee Pepo tu ndiye aliyeshuhudia kijiji kikitokomea. Anaelezea masaibu yaliyokikumba kijiji hiki kwa namna itakayokuacha wewe msomaji ukistaajabu …
Reviews
There are no reviews yet.