2 1

Moran Kiswahili Chanana GD10 (Rtd)

Kiswahili Chanana, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya Kumi ni kitabu cha kiada cha Kiswahili kilichoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi.

Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:

*kina sehemu za Matarajio zinazomfahamisha mwanafunzi awali yale atajifunza katika mada ndogo,

*kina sehemu za Muhtasari zinazofafanua dhana mbalimbali ambazo mwanafunzi anajifunza.

*kina sehemu za Kazi ya Ziada zinazompa mwanafunzi nafasi ya kuendelea kujiimarisha katika yale anayojifunza.

*kina sehemu za Jitathmini zinazompa mwanafunzi nafasi Ya kujitathmini na kutafakari kuhusu yale aliyojifunza katika mada ndogo,

*kinatumia maswali dadisi kukuza umilisi wa uwazaji wa kina na utatuzi wa matatizo.

*kinajumuisha shughuli za mwanafunzi akiwa peke yake, akiwa na mwenzake na akiwa na wenzake katika kikundi.

*kinajumuisha umilisi wa kimsingi, masuala mtambuko na maadili yanayofaa kukuzwa kwa mujibu wa Mtaala wa Kiswahili wa Gredi ya Kumi,

*shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika pamoja na Sarufi.

Hayo na mengine mengi yanadhamiriwa kumwandaa mwanafunzi wa Gredi ya Kumi ili aweze kutumia Kiswahili sanifu katika miktadha mbalimbali ya ulimwengu wa jira na pia kuendelea na masomo ya juu.

KSh 801

untitled design 24

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Moran Kiswahili Chanana GD10 (Rtd)”