2 1

Ningekuwa na Uwezo

Haya ni baadhi ya maswali yanayowakereketa wananchi na viongozi wa Afrika leo. Mwandishi wa Ningekuzva na Uwezo anayapigia darubini maswali haya na mengine na kutusawiria namna Mwafrika asiyejiamini, asiyejijua wala kujithamini, anavyoweza kutapatapa kwenye “bara la giza”. Je, awachwe katika hali hiyo au ashauriwe, aamshwe, na aonyeshwe kuwa anao uwezo wa kujimudu? Na yule atakayefanya hivyo yuko wapi? Je, uwezo huo anao?

KSh 551

untitled design 24

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Ningekuwa na Uwezo”