2 1

OUP Kiswahili Fasaha GD10 (Rtd)

Oxford Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaata wa Kiumilsi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala.

Oxford Kiswahili Fasaha, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 10 kina:

*Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za lugha – Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na *Kuandika – pamoja na matumizi ya lugha kimuktadha.
*Sehemu za Kiangaza ambazo zinawapa wanafunzi fursa ya kueleza ufahamu wao kuhusu dhana husika.
*Sehemu za Zingatio ambazo zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika.
*Sehemu za Tudijitike ambazo kwazo mwanafunzi ana nafasi ya kutangamana na vifaa vya kidijitali katika kufanya mazoezi.
*Michoro ya rangi inayochangia uelewa wa dhana zinazofunzwa
*Tathmini binafsi baada ya kila mada kuu ili kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake wa dhana husika.

KSh 1,102

untitled design 24

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “OUP Kiswahili Fasaha GD10 (Rtd)”