Queenex Chiriku na Chaki ya Kijani na Hadithi Nyingine

Kumbo hili la hadithi za kupendeza zenye mguso wa Kiafrika tena za kifoniki lina jumla ya hadithi kumi na sita. Kila hadithi inaanza kwa kutanguliza sauti lengwa, vianzio, maneno teule, na maneno yenye urari. Hadithi hizi zinalenga kurahisisha ufunzaji wa stadi maalum za usomaji. Msururu huu utamsaidia msomaji kukuza stadi za usomaji darasani na kupalilia tabia ya kusoma maktabani na katika mazingira mbalimbali ikiwemo nyumbani na hivyo kukuza stadi za maisha na maadili.

KSh 290.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Queenex Chiriku na Chaki ya Kijani na Hadithi Nyingine”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?