Salamu Kutoka Kuzimu
Lakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo ambayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa moja “Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti,” anasema akichekelea. “Sijawahi kushindwa …” Jasho linawatoka watu mashuhuri: Damu inamwagika kama mchezo. Inspekta Kombora machozi yanamtoka. Joram Kiango kaduwaa.
KSh 444

EARLY LEARNING ENVIRONMENTAL FOR BEGINNERS
EARLY LEARNING CRE FOR BEGINNERS
Distinction God Speaks to me CRE GD3 (Approved)


Reviews
There are no reviews yet.