Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kimeandaliwa kwa ustadi kuzingatia Mtaala wa Umilisi wa Gredi ya 8. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kumudu stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi kwa njia inayoafiki kiwango chake.YaliyomoKitabu hiki cha mwanafunzi kina mazoezi na mijarabu anuwai, kama vile:-Shughuli kwa Mwanafunzi-Shughuli ya Wanafunzi Wawiliwawili-Shughuli ya Vikundi-Shughuli ya Nyumbani-Shughuli ya Ziada-Tamthmini ya Mwisho wa MadaKurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kina Mwongozo wa Mwalimu unaoandamana nacho ili kumwongoza mwalimu na kumpa mapendekezo ya ufunzaji.
Reviews
There are no reviews yet.