Topnotch Guru ya Kiswahili Paper 1,2 & 3

TOPNOTCH – GEORGIAN GURU YA KISWAHILI-OCTOPUS REVISION MASTER ni kitabu babumkubwa kilichoaandaliwa kikaandalika kwa minajili ya kuwaimarisha wanafunzi wa kidato cha nne ili wakifikie kilele, kileleta na kilelecha cha ufanisi. Kina maswali na majibu anuwai ya kuyatibu ‘maradhi’ yanayowatinga wanafunzi kila uchao.Sasa hakuna kilio tena na kama kitakuwepo , basi kitakuwa cha furaha na buraha ya matokeo bulibuli bin aula. Ukikosa kitabu hiki, usije ukalalamika wala kujuta! Ili kuyakidhi mahitaji ya mwanafunzi, kina marudio faafu katika karatasi zote tatu_102/1, 102/2 na 102/3. Vilevile, sheria za utahini zimeangaziwa kwa marefu na mapana.

KSh 1,200.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Topnotch Guru ya Kiswahili Paper 1,2 & 3”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?