Musa na Shamba la Shule

Wazo la kuanzisha shamba la shule linawafanya wanafunzi wa Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen kuandaa mgomo baridi. Kwa madai yao wenyewe, wako shuleni ‘kusomea mitihani’ wala si kuwa mashokoa wa mwalimu mkuu. Mzee Mukibi. Hata hivyo, hakuna aliye tayari kumkabili mwalimu mkuu kwa kuhofia kuonekana muasi.Masaibu ya Musa na marafiki zake yanazidi kufuatia ‘kutoweka’ kwa nguruwe dume, na kuku sita kuibwa. Mwalimu mkuu naye ameapa kufanya juu chini kuwanasa wezi.Musa na Shamba la Shule ni kitabu cha kumi na moja katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.

KSh 534.00

wws Maya / Pre-sale Questions Need Help? Contact Us via WhatsApp

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Musa na Shamba la Shule”

//
Our customer support team is here to answer your questions. Ask us anything!
👋 Hi, how can I help?