Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambukoyanayokusudiwa katika mtaala. Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kina:-Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za lugha – Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma naKuandika – pamoja na matumizi ya sarufi kimuktadha-Sehemu za Zinduo ambazo zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika-Sehemu za Elimujamii ambazo zinampa mwanafunzi nafasi ya kuendeleza ujifunzaji wake nje ya darasa-Sehemu za Dijitika ambazo kwazo mwanafunzi ana nafasi ya kutangamana na vifaa vya kidijitali katika kufanya mazoezi-Michoro ya rangi inayochangia uelewa wa dhana zinazofunzwa-Tathmini binafsi baada ya kila mada kuu ili kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake wa dhana husika-Sehemu ya Tafakari mwishoni mwa kila suala kuu, ambayo inalenga kumpa mwanafunzi ari ya kutumia aliyojifunza ili kuboresha hali yake na ya jamii nzima.
OUP Kiswahili Fasaha Grade 8 (Approved)
KSh 905

LADYBIRD:PETER & JANE 9C
HL-815L Casio Calculator
A4 KARTASI EXERCISE RULED 96PGS
Auditing & Investigations Simplified
M&G GEL PEN 1PC
COLLINS GERMAN DICTIONARY & GRAMMAR
Kangaro paper punch DP-540
AFRICAN WISDOM 365 DAYS
A+ Revision KCSE Biology
DJ-120D Casio Calculator Plus
A SHORT TEXTBOOK OF PSYCHIATRY
A5 EXERCISE BOOK HALF INCH 96PGS RULED
ASTERIX AND THE CAULDRON
MAKASIA YA FASIHI SIMULIZI BY KAKA BENOSA




Reviews
There are no reviews yet.